Skip to main content
Skip to main content

Uokoaji wa ajali ya ndege waingia siku ya pili Kwale, serikali yaomba msaada wa kimataifa

  • | Citizen TV
    2,207 views
    Duration: 2:24
    Shughuli ya kutafuta miili ya watu kumi na mmoja waliofariki katika ajali ya ndege ya Mombasa Air kaunti ya Kwale iliingia siku ya pili, ambapo viungo zaidi vilipatikana eneo la tukio. Akizungumza baada ya ukaguzi wa shughuli hiyo, katibu katika wizara ya usafiri Teresia Mbaika alisema kuwa mashine zaidi zinahitajika ili kubaini iwapo kuna mabaki ya miili kwenye vifusi vya ndege hiyo. Serikali ya Kenya imewasiliana na serikali za Ujerumani na Hungary kuhusu uchunguzi wa tukio hilo la Jumanne lililosababisha vifo vya raia wake