UoN yazindua rasmi baraza jipya la usimamizi

  • | NTV Video
    86 views

    Chuo Kikuu cha Nairobi sasa kimefungua ukurasa mpya baada ya baraza jipya la usimamizi kuzinduliwa rasmi.

    Profesa Chacha Nyaigotti Chacha, aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu, akiwa ndiye mwenyekiti wa baraza hili jipya, ambalo linatarajiwa kukirejesha chuo hicho katika mkondo wa maendeleo na uthabiti wa kitaasisi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya