Uongozi Bora Afrika I Ufisadi na ukosefu wa utaalam ni changamoto kuu

  • | KBC Video
    44 views

    Vuguvugu moja linaloshinikiza uongozi bora katika eneo la Kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika limetaja ufisadi na ukosefu wa utaalamu kuwa tishio kubwa kwa mfumo wa ugatuzi barani humu. Kwenye mkutano wao jijini Nairobi, wanachama wa vuguvugu hilo walidai kuwa ikiwa maovu hayo mawili hayatakomeshwa, basi sera za kuafikia mabadiliko katika magatuzi hazitazaa matunda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive