'Uongozi hauna Jinsia'- Kwamboka Kibagendi ni Mwanasiasa mwenye jinsia mbili Kenya

  • | BBC Swahili
    528 views
    'Uongozi ni vitendo vya mhusika. Ninapozungumza na wapiga kura, Ninawaambia kuwa mimi ni Kiongozi, na mambo ya jinsia tunaweka kando tunapozingatia uongozi na kiongozi bora'. Kwamboka Kibagendi mwenye umri wa miaka 34, ambaye ameweka historia ya kuwa mtu wa kwanza kutambulika kuwa na jinsia ya tatu kuwania kiti katika uchaguzi ujao nchini Kenya. . Je wapiga kura wanamchukuliaje? . Je jinsia yake ni tatizo kwao? . . . #uchaguzikenya2022 #siasa #kenya 🎥 :Anthony Irungu