Uongozi katika soko la daraja mbili kuzua utata

  • | Citizen TV
    1,318 views

    Wafanyi biashara wa soko la daraja mbili wanafanya mkutano wa faragha wa kuimarisha uongozi wa soko hilo ambalo linaonekana kukumbwa na mzozo kwa siku za hivi karibuni. Kwa sasa wanamtaka gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati kuingilia kati suala la uongozi wa soko la daraja mbili ambalo ni la tatu kwa ukubwa nchini.