"Uongozi maana yake ustahimilivu,

  • | BBC Swahili
    981 views
    Viongozi wa siasa nchini wametakiwa kuwa wastahimilivu na kuepuka siasa za kuchokozana. Hayo ameyasema wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu Tanzania, ambapo Rais Samia ameondoa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. "Tusiende kuchokozana" #bbcswahili #tanzania #siasa