Skip to main content
Skip to main content

Uongozi wa sultan wakosolewa maeneo ya kaskazini mashariki mwa Kenya

  • | Citizen TV
    198 views
    Duration: 1:54
    Wakati maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 yanaendelea kushika kasi, na mfumo wa Demokrasia ya Maelewano ukiendelea kutumika katika baadhi ya maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Kenya, ukoo wa Gashe wa jamii ya Ajuran umeibua wasiwasi kuhusu uongozi wa kitamaduni wa Sultan. Wanajamii hao wanataka Sultan wa sasa aondolewe madarakani wakimtuhumu kuchangia mgawanyiko ndani ya jamii badala ya kuimarisha mshikamano. upande wa sultan haukutaka kuzungumzia suala hilo.