Uongozi wa UDA | Cleophus Malala achukua hatamu za Katibu Mkuu

  • | KBC Video
    33 views

    Katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala ambaye amechukua mamlaka kutoka kwa katibu mkuu anayeondoka Veronica Maina, anasema ataanzisha mchakato wa kushawishi vyama tanzu vya muungano wa Kenya Kwanza kutamatisha shughuli zao na kujiunga na UDA.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #UDA #News