Upanuzi wa Zahanati Kericho

  • | Citizen TV
    146 views

    Kaunti Ya Kericho imeanza Upanuzi wa Zahanati ya Chepkoiyo katika kata ndogo ya Ainamoi kwa gharama ya shilingi Milioni kumi.