Upanzi wa miti Elgeyo Marakwet

  • | TV 47
    6 views

    Toleo la 9 la mpango wa mazingira la Kaptagat Forest kufanyika Jumamosi.

    Tukio la mazingira kuandaliwa katika Shule ya Simotwo Boys, Elgeyo Marakwet.

    Mradi wa Kaptagat Forest watambuliwa kwa mafanikio ya uhifadhi na urejeshaji.

    WWF Kenya miongoni mwa mashirika yanayounga mkono mpango huo.

    Jamii na wadau wajumuishwa katika uhamasishaji wa mazingira.

    #Tv47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __