Upanzi wa miti Kwale

  • | Citizen TV
    54 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale imesema imepiga hatua kubwa ya upanzi wa miti kwa kupanda zaidi ya miche milioni tano kwa kipindi cha miaka 2 iliyopita.