Upasuaji wa maiti ya wakili Paul Gicheru wafanyika katika makafani ya Lee

  • | Citizen TV
    3,008 views

    Upasuaji wa mwili wa wakili paul Gicheru aliyefariki akiwa nyumbani kwake mtaani Karen unaendelea katika makafani ya Lee hapa jijini nairobi ili kubaini kilichosababisha kifo chake.