Upasuaji wa miili ya vijana wawili waliopigwa risasi wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    1,270 views

    Upasuaji wa miili ya vijana wawili waliopigwa risasi na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya jumatano mjini Emali kaunti ya Makueni unfanyika leo katika hospitali ya kilome nursing Kufikia sasa hakuna aliyekamatwa kufuatia mauaji hayo