Upasuaji waonyesha wengi waliouawa wakati wa maandamano walipigwa risasi kichwani

  • | Citizen TV
    2,543 views

    Miili ya vijana watatu kati ya sita waliofanyiwa upasuaji wa maiti baada ya kuuawa kwenye maandamano ya Gen Z ilikuwa na majeraha ya risasi. Uchunguzi huu wa maiti uliofanywa katika makafani ya City na yale ya hospitali ya Kenyatta pia ukionyesha kuwa minzi wa kampuni ya Kenya Power pia alifariki kwa kupigwa risasi tumboni.