Upi mwelekeao wa taifa la DRC? katika Dira ya dunia TV

  • | BBC Swahili
    5,824 views
    #bbcswahili #DRC#m23 Mazungumzo ya amani yaliotarajiwa kufayika kati ya serikali ya DRC na wanamgambo wa M23 yamekumbwa na matatizo hata kabla ya kuanza mjini Luanda, Angola. Mazungumzo hayo yalitarajiwa kuwa ya kwanza kabisa ya ana kwa ana kati ya kundi la M23 na serikali ya DRC kujadili kuhusu mzozo unaoendelea Mashariki mwa taifa hilo. #bbcswahili #DRC#m23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili