Skip to main content
Skip to main content

Upigaji kura wa asubuhi katika uchaguzi mdogo wa wadi za Evurore na Muminji kaunti ya embu ulianza

  • | Citizen TV
    195 views
    Duration: 2:01
    Upigaji kura wa asubuhi katika uchaguzi mdogo wa wadi za Evurore na Muminji kaunti ya embu ulianza na idadi ndogo ya wapigakura katika vituo kadhaa vya kupigia kura. Katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi ya Kanyuambora katika Wadi ya Evurore, ambayo ina mikondo mitatu, ni idadi ndogo tu ya wapiga kura walikuwa wamepiga kura kufikia saa tano mchana. Hata hivyo, zoezi hilo linaendelea bila tashwishi.