Skip to main content
Skip to main content

Upinzani: Kupunguzwa kwa ushuru unaotozwa mishahara ni mbinu ya kisiasa

  • | KBC Video
    1,040 views
    Duration: 3:07
    Viongozi wa upinzani wamekosoa pendekezo la kuondoa ushuru unaotozwa mishahara na serikali ya Kenya Kwanza kwa wafanyakazi wanaopata mshahara wa chini ya shilingi alfu-30. Viongozi hao akiwemo kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, na gavana wa Trans Nzoia George Natembea, walisema pendekezo hilo sio la haki lakini ni njama ya kisiasa katika kutuliza hasira ya wananchi na kuonewa huruma kabla ya uchaguzi Mkuu ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive