Upinzani Senegal wadai himizo la Rais kuhusu usalama ni kukandamiza wapinzani

  • | VOA Swahili
    189 views
    Rais wa Senegal amewahimiza maafisa wa polisi kuchukua hatua zote muhimu kuhakikisha usalama unaimarishwa zaidi kufuatia maandamano ya kupinga hatua ya kufunguliwa mashtaka kiongozi wa upinzani nchini humo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hoja ya kiongozi wa upinzani kuhusu sababu zilizochochea serikali kumfungulia mashtaka.... #senegal #maafisa #polisi #usalama #maandamano #mashtaka #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.