Upinzani Wadai Mchezo Mchafu Kwenye Uagizaji wa Mchele

  • | K24 Video
    28 views

    Taharuki kuhusu mpango wa kuagiza mchele kutoka nje imeongezeka, huku viongozi wa upinzani wakidai kuwa mpango huo ni njama ya kupora mabilioni ya pesa kupitia mitandao ya kibiashara. Viongozi hao wamesema kuwa agizo la kuagiza tani laki tano za mchele mweupe wa gredi ya kwanza litawaathiri vibaya wakulima wa humu nchini.