1 Mar 2026 7:30 pm | Citizen TV 1,213 views Duration: 1:24 Viongozi wa upinzani sasa wanataka uchunguzi wa kina wa ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu sita katika kaunti ya Nandi hapo jana, akiwemo mbunge wa Emurrua Dikirr Johanna Ng’eno.