- 1,861 viewsDuration: 3:09Vinara wa upinzani wamemtaka rais William Ruto kuwaeleza wakenya ukweli kuhusu ubinafsishaji wa mashirika ya serikali, wakidai Rais ana njama ya kunufaika na fedha za umma kupitia mauzo hayo. Wakizungumza kaunti ya Murang'a, viongozi hao Kalonzo Musyoka, Rigathi Gachagua na Eugene Wamalwa hawakutoa uthibitisho wa madai hayo, japo wakamuhusisha Rais kushiriki kibinafsi kwenye mauzo ya baadhi ya mashirika ya umma,