Upinzani wakosolewa kwa kuchochea vurugu

  • | KBC Video
    93 views

    Wanasiasa wanaoegemea upande wa serikali wamedumisha kwamba hakuna nafasi ya kuvunja sheria, wakiwashtumu viongozi wa upinzani kwa kuingilia maandamano ya Gen Z yaliyoshuhudiwa juma lililopita kwa maslahi ya kibinafsi. Viongozi hao waliyasema hayo jijini Kisumu wakati wa hafla ya kuchangisha fedha ambapo walisisitiza kwamba serikali itajitahidi vilivyo kukabili majaribio yoyote ya kuvuruga amani humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive