Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wamshambulia Rais Ruto kufuatia matamshi ya hivi majuzi yaliyomlenga rais mstaafu Uhuru

  • | NTV Video
    2,403 views
    Duration: 2:49
    Viongozi wa upinzani jumuishi wamemshambulia Rais William Ruto kufuatia matamshi ya hivi majuzi yaliyomlenga Rais mstaafu Uhuru Kenyatta yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa UDA Hassan Omar, wakisisitiza kuwa Rais hawezi kujitenga na kauli zinazotolewa na viongozi wa chama anachokiongoza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya