Upinzani wasema serikali inapuuza malalamishi ya Wakenya

  • | KBC Video
    44 views

    Mrengo wa upinzani sasa unadai kwamba serikali haishughulikiii ipasavyo mahangaiko wanayopitia wakenya. Viongozi hao wameahidi kuwaleta pamoja wakenya wote wenye nia njema ili kutafuta suluhu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao wa upinzani walizungumza mjini Narok katika juhudi za kuimarisha ngome zao huku pia wakitafuta ngome mpya kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Khaled Abdullahi ana taarifa kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive