- 8,978 views
Vinara wa upinzani wamemkashifu rais William Ruto kwa msamaha alioutoa jana kwa vijana nchini kwa madhila waliyopitia kufuatia maandamano ya kizazi cha Gen Z, wakidai kwamba msamaha huo ulikuwa wa unafiki. Vinara hao ambao wamezungumza nyumbani kwake kinara wa wiper Kalonzo Musyoka huko Tseikuru kaunti ya Kitui, wamemtaka Rais kuashiria kwa vitendo kughadhabishwa kwake na matukio ya mwaka uliopita kwa kuhakikisha walioumia na wale waliofariki wamepata haki la sivyo msamaha alioomba hauna msingi. Katika kikao cha Leo kilicholeta pamoja vinara wa vyama tofauti, aliyekuwa Naibu rais Rigathi Gachagua amemtaka aliyekuwa bosi wake kujiandaa kufunganya virago vya kuondoka ikuluni mapema, akidai kuwa kikosi hicho tayari kimeandaa mipango kabambe ya kumtimua.
Upinzani wasema utamwondoa Rais Ruto mamlakani
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - Poverty, neglect, and shifting norms are driving early sex and marriage, as Kenya grapples with a sexuality education gap.
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens