Upinzani wataka familia ya Boniface Kariuki itendewe haki

  • | KBC Video
    24 views

    KIFO CHA BONIFACE KARIUKI

    Upinzani wataka familia itendewe haki

    Wanataka waliohusika na mauaji waadhibiwe kisheria

    Kariuki alifariki jana hospitalini Kenyatta

    Alipigwa risasi wakati wa maandamano juma lililopita

    #Darubini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive