30 Aug 2025 7:24 pm | Citizen TV 7,380 views Duration: 1:04 Rais William Ruto amesema hospitali elfu moja ambazo leseni zao zimefutwa kwa kujaribu kunufaika kwa udanganyifu kupitia Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) zitafunguliwa mashtaka