Upungufu mkubwa wa soko la ajira katika mataifa ya miliki za kiarabu kwa wakenya

  • | K24 Video
    24 views

    Chama cha mashirika ya wafanyikazi wa nje ya nchi almaarufu (ASMAK) sasa kinapinga mswada uliopendekezwa na wizara ya kazi na ulinzi wa jamii, wa kuiweka taasisi ya kitaifa ya mafunzo ya viwanda (NITA) kusimamia mashirika yote ya uajiri ya kibinafsi ya wafanyikazi hao nchini. Chama hicho kinasema kumekuwa na upungufu mkubwa wa soko la ajira katika mataifa ya miliki za kiarabu kwa wakenya