28 Aug 2025 10:31 am | Citizen TV 147 views Duration: 3:02 Miaka 15 tangu kuanza kutumika kwa katiba ya sasa, utekelezaji wake umetajwa kuwa tamu chungu huku baadhi ya vipengee muhimu vya katiba vikikosa kuzingatiwa kikamilifu