Urusi- Ukraine: 'Maisha yangu hapa ni bora kuliko nchini mwangu'
Orziny Kiril ni moja ya raia wa Ukraine waliokwama visiwani Zanzibar tangu vita viliponza mwezi wa pili mwaka jana, kwa sasa anafanya shughuli zake mtandaoni na kujipatia pesa inayomuwezesha kumsaidia mama yake na kaka yake ambao wameomba hifadhi nchini Hispania
Kwa mujibu wa Waziri wa Utalii Visiwani Zanzibar Simai Mohamed kuna takribani raia 30 wa Ukraine bado wako kisiwani humo na serikali inawasaidia kupata visa bure wakati wakisubiri hali kutengamaa nchini mwao
@eagansalla_gifted_sounds_ alikuwa visiwani Zanzibar na kutuandalia taarifa ifuatayo
#bbcswahili #zanzibar #ukraine
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- India's government introduced a bill on Wednesday to remove top politicians if they are arrested and detained for 30 days, which opponents called a "chilling" bid to crush constitutional safeguards.
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial