Urusi yaonya dhidi ya “propaganda” za ajali ya ndege ya Azerbaijan
“Itakuwa makosa kueneza propaganda kabla ya uchunguzi. Hatutafanya hivyo, na hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo. Tunahitaji kusubiri uchunguzi ukamilike.”
Urusi yaonya dhidi ya “propaganda” zinazoenezwa kuhusu ajali ya ndege ya Azerbaijan iliyotokea siku ya krismasi na kuua watu 38 nchini Kazakhstan.
Baada ya picha na video ya mabaki ya ndege hiyo kusambaa mitandaoni baadhi ya wataalamu wa anga walisema kuwa ndege hiyo ya Azerbaijan Airlines huenda ilipigwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya juu ya jimbo la Chechnya nchini Urusi na vyombo vya habari vya serikali vya Azerbaijan vilinukuu maafisa wakisema kombora la Urusi lilihusika.
#bbcswahili #urusi #kazakhstan
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 Jul 2025
- Other than rest, residents in will also face heavy fines.
20 Jul 2025
- The students marched out of the school compound at night.
19 Jul 2025
- Mwangi's wife has since demanded the release of the activist.
20 Jul 2025
- Other than rest, residents in will also face heavy fines.
20 Jul 2025
- The students marched out of the school compound at night.
20 Jul 2025
- As a respected statesman, former Vice President, and current Wiper Democratic Movement leader, you have earned a reputation as a measured, principled, and seasoned politician. For decades, you have navigated Kenya’s volatile political waters with…
20 Jul 2025
- Kenyan star Michael Olunga scored a goal as Al Arabi edged out Club Costa City 2-0 in a pre-season friendly tie on Saturday, July 19, 2025, in Valencia, Spain. Olunga and the team touched down in the Spanish city for the pre-season camp on Tuesday, July…
20 Jul 2025
- As Kenya heads toward the 2027 general elections, it faces both a challenge and a rare opportunity to revolutionise its electoral process. With adequate funding and political will, the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) can embrace…
20 Jul 2025
- How Ruto is bandying terror charges to scare Gen-Z from demos
20 Jul 2025
- Why patients abandoned by family have turned KNH wards into their home
20 Jul 2025
- Maraga, Matiang'i jolt 2027 contest, leaving Gisii vote divided and adrift
20 Jul 2025
- Total impunity: Defence PS Mariru ignores court orders to pay soldiers
20 Jul 2025
- Mr President, you promised to be different from the 'others'