USAFI WA KIGALI RWANDA: Jiji la Kigali limetajwa kuwa safi zaidi ya miji yote Afrika

  • | Citizen TV
    3,244 views

    Taifa la Rwanda linafahamika pakubwa kuwa nchi yenye mazingira safi zaidi barani Afrika. Ikikumbukwa kuwa mwaka wa 2018, aliyekuwa mkurugenzi wa mazingira katika shirika la umoja wa mataifa alitaja jiji la Kigali kuongoza kwa usafi barani Afrika. Mwanahabari wetu Maryanne Nyambura alikuwa Rwanda na kutuandalia taarifa ifuatayo