Usafiri wa ndege nje ya nchi umerejea

  • | TV 47
    Safari za ndege kutoka na kuingia nchini zimeanza hii leo baada ya miezi ya anga ya Kenya kufungwa, kampuni ya ndege ya Kenya Airways inasema mikakati yote imewekwa kuhakikisha usalama wa wahudumu wa ndege na wasafiri.