Usafiri watatisika Nairobi baada ya vikwazo vya barabara kufuatia michuano ya CHAN

  • | Citizen TV
    2,805 views

    USAFIRI NAO ULITATIZWA KATIKA BARABARA KADHAA JIJIJI NAIROBI KWA KUTWA NZIMA KWA MECHI ZA MICHUANO YA CHAN YALIYOANZA LEO HAPA NAIROBI. WALIOKUWA WAKISAFARI KUTUMIA BARABARA ZA MOMBASA, LANG'ATA NA THIKA WALITATIZIKA KWENYE MPANGILIO HUU, ULIOENDELEZWA KUTOA FURSA YA MECHI KATIKA UWANJA WA KASARANI NA NYAYO