Usafirishaji wa wanawake wa Malawi kwenda Oman

  • | BBC Swahili
    4,362 views
    BBC Africa Eye inachunguza usafirishaji wa wanawake wa Malawi katika maisha ya utumwa kama wafanyakazi wa nyumbani nchini Oman, na inafuatilia mtandao wa ajabu wa wanawake ambao, wanafanya kazi katika mabara matatu na kuwapigania kuwarudisha nyumbani kutokana na hali ngumu ambazo mara nyingi wanakabialiana nazo. #bbcswahili #africaeye #malawi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw