Usaili wa makatibu wa wizara | Serikali yataka sgughuli hio kuendelea

  • | KBC Video
    115 views

    Mwanasheria mkuu Justin Muturi amewasilisha rufaa akitaka kuondolewa kwa maagizo ya kuzuia kusailiwa kwa makatibu 51 wateule wa wizara. Maagizo hayo yalitolewa na mahakama inayohusika na maswala ya uajiri na leba wiki iliyopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #makatibuwawizara #News #JustinMuturi