Usaili wa waliotuma maombi ya usaidizi wa kibiashara waanza

  • | KBC Video
    5 views

    AJIRA KWA VIJANA

    Wizara ya Masuala ya Vijana na uchumi bunifu imeanza mchakato wa kuwasaili vijana waliotuma maombi ya usaidizi wa kibiashara chini ya awamu ya kwanza ya mradi wa kitaifa wa kutoa fursa kwa vijana. Nyota ni mpango mkuu ulioundwa ili kuwawezesha vijana laki-8 nchini Kenya kwa kupanua ufikiaji wa fursa za ujasiriamali na ukuzaji wa ujuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive