Usaili wa wawaowania wadhifa wa jaji mkuu kurejelewa leo

  • | KBC Video
    Tume ya kuwaajiri wahudumu wa idata ya mahakama itarejelea usaili wa wawaniaji waliosalia wa wadhifa wa jaji mkuu siku ya Jumatatu huku jaji Nduma nderu wa mahakama ya kutatua mizozo ya ajira akiwa wa kwanza kufika mbele ya jopo la mahojiano. Wengine watakaosailiwa kwa wadhifa huo ni wakili Fred Ngatia, jaji William Ouko, Profesa Wekesa Moni na Alice Yano. Ripota wetu ben Chumba anaangazia tajriba ya wawaniaji watano waliosalia wananuia kumrithi David Maraga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive