Usajili kwa bima mpya ya Afya nchini kuanza mwezi machi

  • | West TV
    29 views
    Waziri wa afya Susan Nakhumicha amefichua kwamba huenda wizara ya afya ikaanza zoezi la kuwasajili wakenya kwenye mamlaka mpya ya bima ya afya - social health authority (sha) kuchukua nafasi ya nhif kuanzia mwezi ujao wa machi