Usajili wa kidato cha 1

  • | K24 Video
    Hii ikiwa ni siku ya mwisho ya ambayo imewekwa na serikali ya  wanafunzi kujiunga na shule za upili. Kaunti ya Marsabit na Tanariver, zimeongeza kwa kudorora  kusajili idadi ya wanafunzi wa kidato cha kwake kwa asilimia 60 tu. Huku kaunti ya Muranga na Nyeri zikiongoza kwa kuwasajili wanafunzi kwa kidato cha kwanza, kwa zaidi ya asilimia 100.