Skip to main content
Skip to main content

Usajili wa kura Pwani

  • | Citizen TV
    210 views
    Duration: 1:37
    Muungano wa viongozi chipukizi katika chuo kikuu cha Pwani unawahimiza vijana kote nchini kujitokeza na kujiandikisha kama wapiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao.