Usajili wa Makatibu | Mmahakama yasitisha mchakato

  • | KBC Video
    19 views

    Mahakama kuu imesitisha kwa muda usaili wa makatibu wa wizara waliopendekezwa hadi rufaa iliyowasilishwa kupinga shughuli hiyo itakaposikilizwa na kuamuliwa. Chama cha wanasheria humu nchini kimewasilisha rufaa mahakamani kikitaka shughuli hiyo isimamishwe kwa madai kwamba uteuzi huo haukudhihirisha usawa katika uakilishi wa kimaeneo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakama #News #makatibi #usajili