Usajili wa makurutu wa kulinda misitu wafanyika katika mji wa Eldoret kaunti ya Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    2,578 views

    Usajili wa makurutu wa kulinda misitu unafanyika katika mji wa Eldoret kaunti ya Uasin Gishu na mji wa Iten kaunti ya Elgeyo Marakwet. Idadi kubwa ya vijana wakitarajiwa kujitokeza kutafuta nafasi hizo za kazi.