Usajili wa wapigakura umeingia siku ya pili nchini

  • | Citizen TV
    Usajili wa wapigakura umeingia siku ya pili nchini Idadi ya wanaojitokeza kujiandikisha imesalia kuwa ndogo Mvua inayoendelea kunyesha sehemu nyingi imetatiza shughuli hiyo Vijana wanaojisajili wameamua kuwahamasisha wenzao kufanya hivyo IEBC inanuia kuwasajili wapigakura wapya milioni nne unusu