Usalama Barabarani: Vyuo vya mafunzo kwa madereva kuchunguzwa

  • | KBC Video
    15 views

    Wadau katika sekta ya uchukuzi wametaja uchovu,mafunzo duni ya udereva,barabara nyembamba na alama za barabarani zisizonekana vizuri kuwa baadhi ya sababu kuu zinazochangia ongezeko la ajali katika barabara za humu nchini.Wadau hao ambao walikuwa wakiongea wakati wa kikao cha ushirikishwaji umma kuhusu kanuni mpya za uchukuzi na usalama barabarani wametoa changamoto kwa serikali kuelekeza juhudi zake katika kushughulikia maswala hayo ili kupunguza ajali za barabarani humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News