Usalama barabarani | Wakenya wahimizwa kutahadhari msimu wa sikukuu

  • | KBC Video
    24 views

    Halmashauri ya kitaifa kuhusu uchukuzi na Usalama barabarani imetoa wito kwa polisi, idara ya mahakama na kampuni za bima kuharakisha kesi zote zinazohusiana na ajali barabarani ili kuwawezesha waathiriwa wa ajali hizo kupata haki. Halmashauri hiyo inasema kuwa wanao-athiriwa zaidi na ajali za barabarani hwua wanafunzi, wana-boda boda na pia wapita njia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #usalamabarabarani #News