Usalama Baringo I Wakazi wakabiliwa na changamoto mbalimbali

  • | KBC Video
    34 views

    Wanafunzi katika maeneo yanayokabiliwa na ukosefu wa usalama kaunti ya Baringo wanaendelea kukabiliwa na changamoto nyingi zinazoendelea kuathiri matokeo yao ya elimu. Baadhi ya viongozi na wadau wa elimu katika eneo hilo, wanatoa wito kwa serikali ya kitaifa kushughulikia miongoni mwa mengine, changamoto za chakula na utoaji wa maji safi ya kunywa. Haya yanajiri baada ya eneo hilo kushuhudia mashambulizi ya wezi wa mifugo yaliyowasababisha wenyeji kuhama makwao na kutatiza elimu eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive