Usalama katika mipaka ya Kaskazini

  • | Citizen TV
    372 views

    Ubalozi wa Marekani na Uingereza pamoja na benki ya dunia na muungano wa ulaya utashirikiana na serikali za kaunti za Kaskazini Mashariki kuimarisha hali ya usalama ili kufungua eneo hilo kiuchumi na kimaendeleo.