Usalama wa Kisauni

  • | Citizen TV
    633 views

    Hofu ya usalama imeendelea kugubika eneo la Utange katika eneobunge la Kisauni kaunti ya Mombasa, baada ya genge kuvamia nyumba moja na kuiteketeza moto usiku wa kuamkia leo. Aidha, wakaazi wanaripoti kuvamiwa na kuibwa kwa kanisa lililo karibu na eneo hilo