Usalama wa Lamu | Viongozi wa Lamu wataka viongozi kuwajibika

  • | Citizen TV
    1,027 views

    Viongozi mbalimbali katika kaunti ya Lamu wamekashifu vikali matamshi yaliyotolewa na seneta wa Nyeri Wahome wa Matinga kwamba gavana wa Lamu Issah Timamy anahusika na mashambulizi ya kigaidi yanayoendelea kushuhudiwa Lamu